Friday 31 October 2014

EDDU BOY FT BELLE 9-YES OR NO | FREE DOWNLOAD

Super nyota mwaka 2013kutoka mwanza ametoa ngoma mpya aliyomshirikisha Belle 9 kutoka moro town mkali huyo anayefahamika kwa jina la Eddu boy amekualika kudownload ngoma yenye ukweli ndani yake alafu ni ngoma inayogusa hisia za wengi mambo mbalimbali yanayotokea kila siku za kila siku so nakualika kudownload ngoma mpya ya EDDU BOY FT BELLE 9- YES OR NO kazi kwako.
Chukua time hii kusiliza ujumbe mkali  kutoka kwa Eddu boy anaewakilisha vizuri jiji la mwanza pia usisahau kutoa coment yako kuhusu hii ngoma .



No comments: