Friday 31 October 2014

Young killer ft Fid q &Belle 9-13 [single] | FREE DOWNLOAD

Young killer msodoki amekuletea single yake mpya akiwa wameshikiana wasanii wa tatu kutoka tz ambao ni young killer msodoki,belle 9 pamoja na mkongwe wa mziki wa hip hop pamoja na hayo ngoma hii imetengenezwa chini ya maproducer wa tatu wakali akiwemo Lol pop, majani,n.k so chukua time kudownload hi kazi.
Download hapa chini na ushare na marafiki zako uwapendao ,pia naomba usisahau kupost coment yako hapo chini ilitujuae mtazamo wako kazi ni kwako download bellow



No comments: