Watch & Download ngoma mpya kutoka kwa vice ft mama angel -dogo dogo ambayo hivi sasa ina run in town na vituo mbali mbali vya redio ikiwemo tbc fm ,redio free africa, metro fm n.k ewe shabiki wa vice au mdau unapewa sapoti yakuisapoti ngoma hii ili iweze kufika mbali , Ahsanten sana.
Download ngoma ya vice dogo dogo ambayo ni gumzo kwenye vipindi vya redio and n.k kwahiyo basi ewe mdau au shabiki wa mziki wa bongo fleva ( Kizazi kipya ) toa sapoti kwa vice ili tuweze kulifikikisha hili jahazi la mziki
No comments:
Post a Comment