Thursday, 14 August 2014

ANDREW CHARLES ASAJILIWA MIAKA MIWILI YANGA

Beki namba moja wa timu ya taifa starz asjiliwa yanga sport club kwa muuda wa miaka miwil kuitumikia yanga africa mabingwa mara 24 wa kombe la vodacom beki huyo amesaini mkataba leo katika office za wanajangwani leo beki huyo wa pembeni wa jkt ruvu stars ataitumikia yanga kwa msimu wa 2014 hadi 2015 , toa coment yako hapo chini ama maoni yako kwani maoni yako ni ya mhimu zaidi kuliko kitu chocho te.

No comments: