Wednesday, 27 August 2014

D maria atua rasmi Man united

Manchester united ya kamilisha usajili wa mchezaji wa kiegentina anayechezea club ya real madred ,mchezaji huyo amechukua sura mpya kwni uhamisho wake ni ghari ambao ni $50 habari ambazo zimelipotiwa ni kwamba man united imemusajili mshambliaji hatari kutoka real ma. man u imemalizana na mshambuliaji huyo kwani kwa sasa yeye ni mchezaji halali wa man united .

No comments: