Kama kawaida mtu wako wa nguvu Erasto kambona ,huwa na penda kuku letea vitu vipya kila wakati """Emanuely Okwi akanusha habari za kwenda ulaya ,asema yeye bado mchezaji wa yanga Damu damu asema okwi pia ashangazwa na uvumi uliotolewa kuwa yeye ameshamalizana na >> YANGA<<< na mpango wake ni kwenda kucheza soka ulaya ,asema bado ana mkataba na >> YANGA<<< na mambo madogo tu hayajaenda sawa na kilabu yake ya Yanga. Toa coment>>> YAKO<<< kuhusu Uwamzi wa okwi na >>"" YANGA''<<< YAKE.

No comments:
Post a Comment