Friday, 12 September 2014
Nakuaalika kuwa wa kwanza kusikiliza na kudownload goma mpya ( mr nyoka- mrembo pesa ) bofya hapa kwa kudownload.
huu hapa ni ujio mpya kutoka kwa mr nyoka hii hapa ni ngoma mpya kutoka kwa mr nyoka ambayo ameitoa leo na hii hapa ni bonge la nyimbo na ningependa usikilize na udownload ngoma hii kutoka kwa |MR NYOKA-MREMBO PESA | sijui huyu mrembo alikuwaje ,nakuaalika udownload wewe mwenyewe Karibuni sanaa katika blog ya kijanja inayokupa raha kila siku kwa habari moto moto kila zinapotokea tembelea erastoboy.blogspot.com | kwa habari motomoto.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
imetulia sana
Post a Comment