Thursday, 2 October 2014

WATU WAZIDI KULISHWA NYAMA ZA UMBWA


Watu wazidi kulishwa nyama umbwa,wananchi wa mwanza wamezungumza na kusema tukio kama hili la kulishwa nyama za umbwa limezidi hapa jijini mwanza kutoka kuwa na wingi wa mabucha ya sio kuwa na leseni ya kufanya biashara hiyo tamko lililotelewa na mkuuwa mkoa wa m wanza kuwa endapo kutabainika na na mtu anayejishughulisha na biashara hiyo chafu atapigwa faini na kifungo cha miaka 10 na itakuwa fundisho kwa watu wanaoendelea kufanya hivyohttp;bongomusicskytz.blogspot.com

No comments: