Timu ya dar es salaamu Young africa imeibuka na ushindi wa magoli matatu katika dimba la shinyanga young africa iliokuwa ikikipiga na stand united ya shinyanga matokeo yameisha kwa young africa kuitandika stand united mabao 3 kwa bila hadi dkka 90 za mchezo YOUNG 3-0 STAND UNITED.
MATOKEO YA SIMBA NI HAYA HAPA SIMBA 1-I YAPO HAPA Simba ya dar es salamu imetoka droo na prizon ya mbeya ni mechi kali iliochezwa uwanja wa sokoine mbeya kwa matokeo haya yanazidi kuiteremsha simba katika nafasi mbaya wakati simba ikiwa imecheza mechi 4 ikiwa inatoka sare .
No comments:
Post a Comment