Saturday, 18 October 2014

YANGA VS SIMBA BAADA YA MASAA MACHACHE KINAWAKA DAR TOA MAONI YAKO

Baada ya masaa machache muzunguko wa nne wa VPL utawaka moto kwenye uwanja wa taifa ukiwa ni mchezo unaovuta hisia nyingi za watu wakisema lazima kieleweke dar ama Simba au Yanga atakaeibuka mshindi wa leo uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaamu .
                                     TOA MAONI YAKO HAPO CHINI

No comments: