Timu ya simba ya jijini Dar es salaamu imemfutia kocha kazi baada ya timu hiyo yenye masikani mtaa wa msimbazi kupata kichapo kutoka kwa Zesco 3-0, kutokana na kupoteza mechi hiyo imemupa ngumu loga kocha mkuu wa simbaa kutemwa kama mchezaji mbovu kilabuni , hii inakupa mwanga kwamba timu za bongo zinapenda kufunga hazipendi kufungwa , jee kwa mfumo huu timu za bongo na soka la bongo linakuwa au ndo tunakuwa wasindikizaji wa hili gemu la mpira, ewe ndugu msomaji toa maoni yako hapa chini kama wewe ni shabiki wa mpira na unataka soka libadilike tufanye nini ili kuweza kufika mbali.

1 comment:
kalieni wanachama mtabuma
Post a Comment