Katika mkoa mpya wa geita Daradara za ua yadaiwa kuwa ajali hiyo ilitokea wakati gari la mizigo kugona na daradara iliyokuwa inawabiria wa kutoka nyakumbu kwenda mwatulole mkoa wa geita , chanzo cha hiyo ajari yadaiwa kuwa ni mwendo kasi wa gari la mizigo lililokuwa linatoka mwanza kwenda katoro geita , kutokana na ajali hiyo watu kumi wajeruhiwa na watu wa wili wadaiwa kupoteza maisha papo hapo, Je wewe ndugu unae safiri leo, kesho , kesho kutwa unawashauri nini hawa madereva wanaoendesha gari kwa mwendo kasi barabarani unawashauri nini , toa maoni yako kwa hawa madereva


1 comment:
inatisha
Post a Comment