Friday, 1 August 2014

Watch & Download here | Nas wagheto - uzushi | Official music video ambayo ameitambulisha hivi punde katika vituo vya redio na mitandao mbalimbali  ya kijamii  chukua flusa ewe mdau wa bongo fleva toa sapoti hawa vijana ili waweze kufika mbali katika hii sanaa
Watch & Download new Video kutoka kwa nas wagheto ambayo ameiachia hivi karibuni katika mitandao ya kijamii na vituo mbalimbali vya redio , kwa hiyo basi ewe shabiki wa nas wagheto unakaribishwa kuisapoti kazi hii ili iweze kufika mbali pengine hatakufika kimataifa.

No comments: