Watch & Download | Nas wagheto- uzushi | official music video
Watch & Download nas wagheto- uzushi official music video ambayo ni gumzo hivi sasa katika midia mbalimbali na vituo mbalimbali vya redio mpendwa mtazamaji unaombwa kuipa sapota hii ngoma ifike mbali katika hii tasinia ya mziki wa bongo fleva .
icheki hapa chini mzigo ndo huo hapo.chukua flusa kuitazama hii ngoma " mpya"
No comments:
Post a Comment