Pazia la ligi kuu likiwa limefunguliwa leo kwa mchezo wa ngao ya jamii YANGA vs AZAM ,mechi ambayo imechezwa leo na yanga imeilaza azam fc 3-0 katika uwanja wa taifa dism dar es salaam wafungaji wa mechi ya leo ni Gelson jaja akiwa amekwamisha goli mbili ikiwa dk 65,75, na goli la tatu likikwamishwa na simion msuva dk 80 ya mchezo.
1 comment:
imekaa wa pouwa sanaa
Post a Comment