Friday, 5 September 2014

KUTOKANA NA AJALI ILIYOTOKEA MUSOMA MAITI ZA ONGEZEKA

Kutokana  na ajali hiyo , watu waliojeruhiwa bado wanaendelea kupoteza maisha yaobaada ya leo  asubuhi majeruhi watano wapoteza maisha yao  katika hospitali ya mkoa , toka jana maiti zilikuwa 36 na majeruhi 79  kutokana na hali hiyo kuwa wagonjwa wanakuwa wengi kupita kiasi madakitari wanakuwa wanazidiwa na pop lation ya watu watu walio pata ajali hiyo , kwani madakitari wanakuwa wanalalamika kupungua kwa damu katika hospitari hiyo maana wagonjwa ni wengi wanaoitaji kuongezewa damu, fatilia mara kwa mara ukara huu ukiwa unapa nini kinacho endelea .

No comments: