Timu ya young africa imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuiadhibu timu ya Thika kwa goli moja bila ( 1-0) mpira uliochukua dakika 90 za mchezo kumalizika timu ya dar es salaa imeibuka na ushidi wa 1 kwa 0 goli lililo fungwa mchezaji kutoka brazi gelson santos jaja ambae hakufanya makosa katika kukwamisha mpira wavuni kwa kumalizia klosi nzuri ya msuva ,hadi mwisho wa mchezo YANGA kuto dar er salamu 1 na timu ya THIKA UNITED 0.
No comments:
Post a Comment